Home Siasa PICHA ZA WAGOMBEA UBUNGE CCM WILAYA YA MEATU BAADA YA KUREJESHA FOMU

PICHA ZA WAGOMBEA UBUNGE CCM WILAYA YA MEATU BAADA YA KUREJESHA FOMU

0

 

Wagombea Ubunge wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina
(kulia) na Leah Komanya Jimbo la Meatu (kushoto ) wakijaza fomu za Tume
ya Uchaguzi kuomba kuteuluwa kugombea majimbo hayo kwa ajili ya uchaguzi
mkuu mwaka huu.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akizungumza na madiwani
walioteuliwa na CCM kiugombea kwenye kata za Jimbo la Kisesa muda mfupi
baada ya kujeresha fomu ya kugombea ubunge 2020.


Mgombea ubunge Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akifurahia jambo na Mgombea
ubunge Jimbo la Meatu, Leah Komanya wakati wakiingia kuchukua fomu ya
kuomba kuteuliwa na Tume ya uchaguzi. wengine ni Katibu wa CCM Meatu,
Charles Mazuri na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Meatu, Juma Mwiburi.