Home Siasa MAJALIWA APITA BILA KUPINGWA UBUNGE WA RUANGWA

MAJALIWA APITA BILA KUPINGWA UBUNGE WA RUANGWA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya  Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo, fomu za kuwania Ubunge wa Jimbo la Ruangwa kupitia CCM,,wakati aliporejesha fomu hizo kwenye Ofisi ya Mukurugenzi huyo,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa barua na kupita bila kupingwa katika jimbo la Ruangwa kwa nafasi ya Ubunge na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya  Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Agosti 25,2020.Kulia ni Mkewe Mary Majaliwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha  barua ya kupita bila kupingwa katika jimbo la Ruangwa kwa nafasi ya Ubunge baada ya kukabidhiwa barua  hiyo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya  Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Agosti 25,2020.Kulia ni Mkewe Mary Majaliwa.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu