Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS SAMIA KATIKA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati…
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KATIKA MKUTANO WA ACTIF 2025 NCHINI GRENADA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Julai 27, 2025 amewasili mjini St. George’s, nchini Grenada ambapo atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la nne…
RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mheshimiwa…
RAIS SAMIA KATIKA KIKAO CHA MAADILI USIKU HUU KUCHAGUA MAJINA YA WAGOMBEA
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea muda huu majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa…
KATIBU MKUU WA CCM AKIZUNGUMZA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM NA MAKAMU WA RAIS
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na kuagana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya…
VYAMA VYA SIASA VYAHAKIKISHIWA UWANJA SAWA UCHAGUZI MKUU 2025
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume Huru ya…
MIZENGO PINDA AHUTUBIA KONGAMANO LA VYAMA VYA UKOMBOZI AKIMWAKILISHA DK. SAMIA AFRIKA KUSINI
Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa…
RATIBA YA UTEUZI WA WAGOMBEA, KAMPENI NA UCHAGUZI MKUU
Ratiba ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 imetoka ambapo kuanzia tarehe 09-27 Agosti itakuwa ni zoezi la kuchukua fomu za uteuzi kugombea kiti cha…
WAZIRI KOMBO AFUNGUA MILANGO MIPYA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA RWANDA KUPITIA MKUTANO WA JPC KIGALI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefungua rasmi Mkutano wa 16 wa Tume ya…