DKT. JAKAYA KIKWETE NA RAIS HICHILEMA WA ZAMBIA WAENDELEA NA USULUHISHI MGOGORO WA LESOTHO
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameungana na Rais Haikande Hichilema wa Zambia kukutana na Viongozi mbalimbali wa Ufalme wa Lesotho kama sehemu ya mchakato wa…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameungana na Rais Haikande Hichilema wa Zambia kukutana na Viongozi mbalimbali wa Ufalme wa Lesotho kama sehemu ya mchakato wa…
Na Sophia Kingimali Umoja wa Jumuiya ya Wanawake CCM UWT wilaya ya Kinaha mkoani Pwani wamepongeza juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano…
*Asema ni kiongozi mchapakazi na mtiifu, Chama kina matumaini makubwa KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi Paul Makonda…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame kabla ya kuanza kwa Mkutano…
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Mhe. Dkt. Frank-Walter Steinmeier akipokelewa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro katika…
Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb) ameshiriki Kutoa Mafunzo ya uongozi kwa Viongozi Vijana kutoka UWT na UVCCM, ambapo Leo tarehe 01 Novemba…
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Mhe. Dkt. Frank Walter Steinmeier Novemba 1, 2023 amewasili Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kwa…
RAIS wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Far es salaam Leo Jumanne Oktoba 31, 2023 kuhusu ushirikiano wa masuala mbalimbali…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amewasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azimio la kujiunga na…