SERIKALI YAIPONGEZA TAASISI YA HAYDOM KWA KUTOA HUDUMA BORA ZA AFYA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya…
TUNDURU WAUZA KOROSHO ZENYE THAMANI YA BILIONI 62.159
Baadhi ya wakulima wa korosho kutoka kijiji cha Airpot kata ya Mbesa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma,wakifuatilia uendeshaji wa mnada wa zao hilo kupitia mfumo wa soko la bidhaa(TMX) ambapo wamefurahishwa na bei nzuri ya Shilingi 3,212 kwa kilo moja. Na Mwandishi Maalum,Tunduru KILO milioni 19,375,896.00 za korosho zenye thamani ya Sh.bilioni 62,159,126,758.00 zimeuzwa na wakulima wanaohudumiwa na Chama kikuu cha Ushirika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma(Tamcu Ltd). Korosho hizo zimeuzwa katika minada minne kupitia mfumo wa stakabidhi ghalani chini ya usimamizi wa mfumo soko la bidhaa(TMX) ulioonyesha mafanikio makubwa kwa wakulima kupata soko la uhakika na bei nzuri ya zao hilo. Meneja Mkuu wa Chama kikuu cha Ushirika wilaya ya Tunduru(Tamcu Ltd) Marcelino Mrope alisema,mnada wa kwanza ulifanyika katika kijiji cha Nakapanya kilo 1,804,369.00 zenye thamani ya Sh.5,792,024,490.00 zimeuzwa kwa bei ya Sh. 3,210 kwa kilo moja. Mrope alisema,katika mnada wa pili uliofanyika katika kijiji cha Mtina wakulima wameuza kilo 7,543,517.00 zenye thamani ya Sh.23,973,297,026.00 kwa bei ya Sh. 3,178.…
WAZIRI KIJAJI ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA COP29
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa…
SERIKALI YASISISITIZA HAKUNA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU MGODI WA NORTH MARA
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesisitiza kwamba hali…
MIRADI YA MIUNDOMBINU WILAYANI ILEJE KUKAMILIKA KWA WAKATI: KASEKENYA
Naibu Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Ileje,…
RC MWANZA AZINDUA ILEMELA NYAMA CHOMA FESTIVAL
Wachoma nyama wakiwa kwenye Tamasha la Ilemela Nyama…
SHULE YA FAMASIA MUHAS YAITUNUKU MSD TUZO YA UHUSIANO MZURI KIUTENDAJI
Shule ya Famasia (MUHAS) imeitunuku Bohari ya Dawa…
MSD YAKABIDHI DAWA NA VIFAA VYA DHARURA AJALI YA JENGO KARIAKOO
Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi baadhi…
DKT BITEKO AWATAKA WAHITIMU WASIOGOPE CHANGAMOTO ZA MAISHA BAADA YA CHUO
* Awahimiza kufanya uamuzi sahihi, kujibu maswali na dukuduku…
MHE. MCHENGERWA: RUFAA 5,589 ZA WAGOMBEA ZIMEKUBALIWA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala…