Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum Mkoani Pwani, Subira Mgalu amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Bagamoyo. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi( CCM) Bagamoyo, Shaban Karage alikiri kumkabidhi fomu hiyo leo Juni 29,2025
Na Silivia Amandius. Mbunge Devotha Mburarugaba amejivunia fursa ya kuiwakilisha Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa ya Specialty Coffee Association of Japan (SCAJ)…