WANANCHI MATEMANGA WAFURAHIA KUPATA MAJI YA BOMBA
Diwani wa kata ya Matemanga halmashauri ya wilaya Tunduru Hamis Kahesa akinawa uso katika chanzo cha mradi wa maji Matemanga mara baada ya wakala wa maji vijijini Ruwasa kukamilisha ujenzi wa mradi huo ulianza kujengwa tangu mwaka 2012. Meneja wa mradi wa watumia maji wa Matemanga wilaya ya Tunduru Musa Ali akiwaongoza baadhi ya wakazi wa kijiji cha Matemanga kuchota maji mara baada ya mradi huo kuanza kutoa huduma ya maji ya maji. Baadhi ya watoto katika kijiji cha Matemanga wakifurahia huduma ya maji ya bomba ambapo kijiji hicho kilikuwa hakijawahi kupata maji ya Bomba tangu Uhuru mwaka 1961. Picha na Mpiga Picha Wetu,…
VIONGOZI WA VYAMA 11 VYA SIASA NCHINI WAMPA MAKAVU ZITTO KABWE, KUHUSU KITENDO CHAKE CHA KUICHONGEA TANZANIA BENKI YA DUNIA ISIPEWE FEDHA ZA MKOPO NAFUU
Katibu Mkuu wa Democratic Party (DP)Abdul Mluya akizungumza…
Mbunge Kingu Atoa Shukurani kwa Serikali Kutoa sh.Milioni 140 za Ujenzi wa Sekondari
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu (katikati),…
#LIVE: RAIS DKT.MAGUFULI AKISHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA ( LAW DAY ) – JNICC DSM
https://youtu.be/rQfUk9VWKRM
WABUNGE WATAKIWA KUTUMIA KADI YA ALAMA (SCORE CARD) KUPATA TAKWIMU SAHIHI YA UGONJWA WA MALARIA
Baadhi ya wabunge wakipatiwa semina kuhusu kutumia kadi…
MILIONI 29 ZA MSTAAFU ZILIZOKUWA ZIMETAPELIWA ZIMEREJESHWA NA TAKUKURU
Mkuu wa mkoa wa Katavi Juma Homera akimkabidhi…
WANANCHI MTWARA WASHAURIWA KUJIEPUSHA NA MAGENDO
Afisa Forodha TRA Mtwara, Salvatory Chami akitoa elimu…
POLISI ALIYEKAMATWA NA MAGENDO ACHUKULIWE HATUA HARAKA- RC SONGWE
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus…
MAOFISA WAANDIKISHAJI ,WASAIDIZI MKOANI PWANI WAFUNDWA KUFUATA MIIKO NA SHERIA -LONGWAY
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI MAOFISA waandikishaji,waandikishaji wasaidizi pamoja na…