WAZIRI MAVUNDE ASISITIZA MIRADI MIKUBWA YA MADINI ILIYOPEWA LESENI KUANZA KAZI HARAKA
*Dodoma* Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ameagiza…
KAMATI YA USALAMA BARABARANI ARUSHA YAKABIDHI VIFAA VYA TEHAMA POLISI ARUSHA
Kamati ya Usalama barabarani Mkoa wa Arusha leo…
UKATILI WA KIJINSIA NA MAAMBUKIZI YA VVU: CHANGAMOTO ZINAZOKUMBA WANANDOA NA JAMII YA KALENGA
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Katika…
JESSENATION ATEMA MOTO MPYA UNAOTIKISA AFRIKA MASHARIKI GOOSEBUMPS
Jessenation, anayejulikana pia kama Jesse Emeghara, ameendelea kuthibitisha…
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA RWANDA NA ZIMBABWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi…
TAASISI ZA FEDHA ZATAKIWA KUTOA ELIMU KWA WAKOPAJI KABLA YA KUWAPA MIKOPO
Afisa Sheria Mwandamizi, Idara ya Ustawi na Huduma…
WANAWAKE MONDULI WAATHIRIKA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Mwandishi wetu, Monduli WANAWAKE wa Jamii ya kifugaji…
USHIRIKI KATIKA SOKO LA JUMLA LA FEDHA ZA KIGENI
Benki Kuu ya Tanzania imeshiriki katika Soko la…
BILIONI 4 KUBORESHA HUDUMA YA MAJI MJI WA MBINGA
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira katika Mji wa Mbinga Mkoani Ruvuma(Mbiuwasa)na Mhandisi Yonas Ndomba kushoto na mwakilishi wa kampuni ya Simba Pipe Industries Ltd Elias Nyenzi,wakionyesha mikataba ambapo kampuni ya Simba Pipe Industries Ltd imepata kazi ya kutengeneza na kusambaza mabomba ya maji kwa ajili ya uboreshaji wa huduma ya maji katika mji wa Mbinga. Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma Kisare Makori,akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira katika Mji wa Mbinga(Mbiuwasa) na Wakandarasi waliopata kazi ya kutengeneza mabomba na ujenzi wa mradi wa kuboresha huduma ya maji katika mji huo,kulia Mkurugenzi Mtendaji wa Mbiuwasa Mhandisi Yonas Ndomba na kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Mbiuwasa Mhandisi Patrick Ndunguru. Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbinga mji…
DC SAME, ATOA ONYO KALI KWA WANANCHI KUDAI UMILIKI WA ENEO LA KITUO CHA AFYA VUNTA
Na Ashrack Miraji Fullshagwe Media Mkuu wa Wilaya…