Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
SERIKALI YAENDELEA KUDHIBITI KIPINDUPINDU MAFUNZO YATOLEWA KWA WATAALAM MIKOA, WILAYA HATARISHI
Na Atley Kuni, WAF-Morogoro Serikali imeendelea na jitihada za kuimarisha afya ya jamii na kukabiliana na milipuko ya ugonjwa wa kuambukiza wa kipindupindu kwa…
DC SIMA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU WA KAHAWA, ASISITIZA UWAJIBIKAJI NA UBORA WA UZALISHAJI
Na Silivia Amandius Bukoba. Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Mhe. Erasto Sima, Aprili 27, 2026 amefungua kikao cha wadau wa zao la kahawa kilichofanyika…
SULPHUR YAMWAGIKA KARIBU NA BWAWA LA MINDU MOROGORO
Na Farida Mangube Morogoro Kemikali inayodaiwa kuwa ni sulphur imemwagika baaaa ya gari yenye namba za usajili T196 EMU mali ya kampuni ya Alhushum…
BUNGE LAPITISHA BIL. 174.9/ KWA WIZARA YA MADINI
📍 Dodoma Bunge la Jamhuru ya Muungano wa Tanzania, limeridhia na kupitisha bajeti ya Wizara ya Madini ya shilingi bilioni 174.9 kwa Mwaka wa…
SEKTA YA MADINI YANG’ARA UWEKEZAJI , BEI YA DHAHABU YAENDELEA KUPANDA
*Yawa kinara FDI , Miradi ya kimkakati yafungua ajira na mapato Dodoma Sekta ya Madini nchini imeendelea kudhihirisha ubora wake katika kuchangia uchumi wa…
JKCI, ISRAEL WAIMARISHA HUDUMA ZA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO 252
Jumla ya watoto 252 wamepata huduma za upasuaji wa moyo kupitia ushirikiano uliopo kati ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Shirika la…
MHE JOHARI: TUTAHAKIKISHA OFISI YA MWANASHERIA MKUU INAKUWA CHACHU KUFIKIA MALENGO DIRA 2050
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari, amesema kuwa Ofisi…
KAMISHNA LUOGA AONGOZA WATAALAMU KUTOKA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA AU KUHUSU NISHATI NA UCHUKUZI
Wizara ya Nishati na Wizara ya Uchukuzi za Tanzania zimeshiriki katika Mkutano wa 5 wa mwaka wa Kamati Maalum ya Wataalamu ya Umoja wa…
MTAKA AWATAKA WANANCHI KUPANDA MITI, KUTUNZA MISITU
Na. Sixmund Begashe, Njombe Wananchi wametakiwa kupanda miti na kutunza Misitu nchini kwa maslahi mapana ya Taifa na mtu mmoja mmoja. Wito huo umetolewa…