WAWILI WAHUKUMIWA GEREZANI KWA KUHARIBU MITA ZA BAWASA BABATI
Na John Walter -Babati Mahakama ya Mwanzo Babati imewahukumu kifungo…
JKCI WAFUNDISHWA TEKNOLOJIA YA KISASA YA KUZIBA MATUNDU YA MOYO
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt.…
NILIVYOREJESHA SH. MILIONI 15 ZANGU NIOIZODHULUMIWA NA MWALIMU
Jina langu ni Salumu, ni kijana wa miaka 24 niliyefanikiwa…
RC CHALAMILA KUIMARISHA MAZUNGUMZO KATI YA KIWANDA CHA SARUJI WAZO HILL NA WANANCHI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam aahidi suluhu ya…
MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI MIKOA YA MTWARA, LINDI NA RUVUMA YAFUNGULIWA LEO
Mwenyekiti wa tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa…
SERIKALI YAOMBWA KUTOA FEDHA ZA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 UNAOTEKELEZWA KATIKA MJI WA SONGEA
Msimamizi wa mradi wa maji wa miji 28 kutoka Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Manispaa ya Songea(Souwasa)Mhandisi Vicent Bahemana kulia,akionyesha mchoro wa mradi huo kwa wajumbe wa kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea wakiongozwa na Mwenyekiti wake Mwinyi Msolomi aliyevaa kaunda suti wakati wa ziara ya wajumbe hao walipotembelea mradi huo jana. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea mjini mkoani Ruvuma Mwinyi Msolomi katikati na katibu wa Chama hicho James Mgego kushoto, wakikagua tenki la kuhifadhi maji lita milioni 2 eneo la Chandamali linalojengwa kupitia mradi wa maji wa miji 28 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,kulia msimamizi wa mradi huo kutoka Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Songea(Souwasa) Mhandisi Vicent Bahemana. Msimamizi wa mradi wa maji wa miji 28 unaotekelezwa katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kwa gharama ya Sh.bilioni 145.77 Mhandisi Vicent Bahemana,akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi …
TUME YA RAIS YA MABORESHO YA KODI YAKUTANA NA WADAU WA KODI MKOA WA SHINYANGA KUKUSANYA MAONI
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, akizungumza kwenye mkutano…
RAIS SAMIA ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano…