All News
Browse paged Tanzania political, government, parliament, and public policy news stories.
TUNAKUSHUKURU KWA USHIRIKIANO WAKO KILA LAKHERI MDAU
Tunakushukuru ndugu yetu Emmanuel Mbatiro kwa ushirikiano wako kama mdau wetu muhimu wa Fullshangweblog wakati wote na sasa tunakutakia kila lakheri wakati utakapokuwa akiendelea…
X YAKABIDHI TZS MILIONI 175 KWA ZSTC KUIMARISHA AFYA NA UENDELEZAJI WA ZAO LA KARAFUU ZANZIBAR
Pemba, Zanzibar | 30.04.2026. Kampuni ya huduma za fedha kidigitali, Mixx, imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuimarisha uchumi wa wakulima wa karafuu Zanzibar kwa…
RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MGENI WAKE RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame…
RAIS KAGAME WA RWANDA AWASILI NCHINI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame amewasili nchini kwa Ziara ya Kikazi ya siku moja yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa uwili…
AGAWA MAFUTA KWA BODABODA 100 KUHAMASISHA UZALENDO
NA DENIS MLOWE IRINGA KIJANA mzalendo Alphonce Myinga, maarufu Black, ameendeleza jitihada za kuhamasisha uzalendo kupitia hatua ya kuwagawia mafuta zaidi ya vijana 100…
SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI KUIMARISHA AMANI NA MAADILI NCHINI
_▪︎ Asema dini ni nguzo muhimu ya malezi na mshikamano wa Taifa_ _▪︎ Asisitiza jamii kuendelea kuombea na kulinda amani ya nchi_ Waziri Mkuu,…
MKOA WA DODOMA WAZINDUA MPANGO WA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO
Dodoma, Mei 02, 2026 Mkoa wa Dodoma umefikia hatua muhimu katika safari ya kujenga jamii salama, jumuishi na yenye haki kwa wote, kwa kuzindua…
KAGAME, RUTO KUFANYA ZIARA TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIKANDA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza ujio wa viongozi wawili wa Afrika Mashariki, Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame na…
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AHIMIZA WANANCHI KULINDA MIRADI YA UMWAGILIAJI
*Makambako, Njombe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewataka wananchi wa Wilaya ya Makambako mkoani Njombe na…