WAJEDA WAACHANA NA UKAPERA BAADA YA KUFUNGA NDOA WAPEWA MANENO MAZITO
Wanajeshi (WAJEDA) Wanandoa Valentino John Tuka na Tusibwene Mustafa Juma…
YETU MICROFINANCE BANK PLC KUWEKWA CHINI YA USIMAMIZI WA BENKI KUU YA TANZANIA
Ndugu Wanahabari, Kama mnavyofahamu, Sheria ya Benki na Taasisi za…
RAIS SAMIA AENDELEA KUUPIGA MWINGI,ATOA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 293 AMALIZA KERO YA MAJI KIJIJI CHA IHOMASA MUFINDI
Mhandisi wa wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (Ruwasa)wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Irine Sengiwa kulia,akizungumza na viongozi wa serikali ya kijiji cha Ihomasa wakati viongozi hao walipotembelea mradi wa maji katika kijiji hicho ambao umekamilika kwa asilimia 100. Kaimu Meneja wa Ruwasa wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Irine Sengiwa wa pili kushoto,Diwani wa kata ya Kasanga Coster Ng'umbi katikati wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serikali ya kijiji cha Ihomasa wilaya ya Mufindi mkoani Iringa baada ya kutembelea mradi wa maji katika kijiji hicho uliotekelezwa na Ruwasa kwa gharama ya zaidi ya Sh.milioni 293. Baadhi ya viongozi wa serikali ya kijiji cha Ihomasa Halmashauri ya wilaya Mufindi mkoani Iringa,wakimsikiliza Kaimu Meneja wa Ruwasa wilaya ya Mufindi Mhandisi Irine Sengiwa baada ya kutembelea mradi wa maji uliotekelezwa na Ruwasa kwa lengo la kuwaondolea kero ya huduma ya maji safi na salama wananchi wa kijiji hicho. Diwani wa kata ya Kasanga Halmashauri ya wilaya Mufindi Coster Ng'umbi kushoto na Kaimu Meneja wa Ruwasa wilaya ya Mufindi Mhandisi Irine Sengiwa katikati wakijiandaa kumtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Ihomasa Diana Mbedule. Muonekano wa tenki la kuhifadhia maji lililojengwa katika kijiji cha Ihomasa kata ya Kasanga Halmashauri ya wilaya Mufindi ambalo limekamilika kwa asilimia 100. ........................... Na Muhidin Amri, Mufindi WANANCHI wa kijiji cha Ihomasa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa,wameipongeza Wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(RUWASA), kwa kutekeleza na kukamilisha mradi ya maji ambao umemaliza kero ya upatikanaji wa maji safi na salama. Wametoa pongezi hizo kwa nyakati tofauti, wakati wakizungumza na Baadhi ya Waandishi wa Habari walioko kwenye ziara maalum ya kutembelea miradi ya maji inayotekelezwa na Ruwasa katika mikoa ya nyanda za juu kusini.…
WANAFUNZI WALIOSHINDA WA TUZO 3 ZA UJASIRIAMALI NIGERIA WAREJEA NCHINI
Na John Walter-Arusha. Wanafunzi walioshinda tuzo 3 katika mashindano ya…
SHULE YA MAKI BRILLIANT KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA VITENDO KUZINGATIA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA
Mkuu wa Shule ya Awali na Msingi ya Maki Brilliant…
TANAPA YASHINDA TUZO YA KIMATAIFA YA UBORA 2022 KWA MARA YA TATU
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa mara nyingine…
WANAHABARI KEMENI UPOTOSHWAJI WA TAARIFA ZINAZOWEZA KULETA TAHARUKI KWA WANANCHI
**************************** WAF-DSM Wito umetolewa kwa waandishi wa habari kuandika na…
SHEREHE YAFANYIKA, KATIBU CCM BABATI MJI AKIHAMIA BUKOBA MJINI.
************************* Na John Walter-Babati Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya…