ASIYEFUNZWA NA MAMAYE HUFUNZWA NA ULIMWENGU
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imewataka watumishi wake waliohudhuria mafunzo ya kiutumishi kwa siku tano mjini Dodoma kuyafanyia kazi mafunzo yao ili waweze kuongeza…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imewataka watumishi wake waliohudhuria mafunzo ya kiutumishi kwa siku tano mjini Dodoma kuyafanyia kazi mafunzo yao ili waweze kuongeza…
Tanzania na Angola zimeazimia kuimarisha uhusiano wa kihistoria na kidiplomasia kwa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na kubaini fursa mpya za maendeleo kwa manufaa ya…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe akizungumza kwenye mkutano huo mkoani Arusha…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira ya kuendelea kuimarisha ushirikiano na Umoja wa Mataifa (UN) katika kukuza na kulinda amani, kuimarisha…
NA DENIS MLOWE, IRINGA SERIKALI imeombwa kuhakikisha watoto wenye ulemavu na yatima wanaotoka katika familia zenye hali duni ya kiuchumi wanapewa kipaumbele katika upatikanaji…
Dodoma Askofu Mkuu wa Kanisa la Spiritual Pentecostal Church of Tanzania (SPCT), Dkt. Musa Samsoni Mlawi, ameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya barabara na kupanga…
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amesisitiza kuwa wananchi wenye bima ya afya wanapaswa kupata huduma bila vikwazo visivyo…
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa kampuni mbili kutoka China kwa lengo la kujadili uwekezaji katika…
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inalenga kuwa miongoni mwa wazalishaji 10 bora wa chakula duniani kutokana na uwekezaji ambao umefanyika kwenye sekta…
NA FAUZIA MUSSA KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Khamis Abdulla Said, ameitaka Taasisi ya Elimu Zanzibar kuhakikisha vitabu…