John Bukuku
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA JIMBO LA XUZHOU NCHINI CHINA
Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akizungumza na ujumbe kutoka Mji wa Xuzhou Nchini China uliokuja kufanya tathmini ya Madaktari wa nchi hiyo…
AWAMU YA KWANZA YA UHAKIKI WA JUMUIYA ZA KIJAMII NA TAASISI ZA KIDINI WAANZA JIJINI DAR ES SALAAM.
Kaimu Msajili wa Jumuiya za Kijamii na Taasisi za Kidini kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jesca Shengena akitoa maelekezo kwa Makamu…
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOANI MBEYA LEO
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya leo tarehe 21.05.2019 limewafikisha Mahakama ya Wilaya ya Mbarali watuhumiwa watatu kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wa…
RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN, AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO MALIASILI MIFUGO NA UVUVI IKULU NDOGO KIBWENI ZANZIBAR LEO.21-5-2019
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara…
MADIWANI MANYARA WALALAMIKIA KUKATWA POSHO ZAO
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Jackson Leskar Sipitieck (katikati) akiandika yanayozungumzwa kwenye kikao cha Alat cha mkoa huo, kilichofanyika…
Basi la Arusha Express lateketea kwa moto
Basi la Arusha Express ambalo linafanya safari zake kati ya Bukoba na Arusha limeteketea kwa moto kwenye eneo la Kibeta katika Manispaa ya Bukoba …
LUKUVI ATANGAZA KUPANGWA MAENEO ITAKAPOPITA RELI YA MWENDOKASI (SGR)
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametangaza kupangwa kwa maeneo yote itakapopita reli ya Mwendokasi (SGR) ili shughuli zitakazofanyika katika…
WAKALA WA VIPIMO TANZANIA (WMA) WAADHIMISHA SIKU YA VIPIMO DUNIANI
Stella Kahwa Mkurugenzi wa Ufundi Wakala wa Vipimo (WMA) amesema Vipimo ni Viwanda na Viwanda ni Vipimo, Huwezi kuzalisha bidhaa yoyote bila vipimo vilivyothibitishwa…
Kampuni ya Halotel na Visa zimesaini mkataba wa kimkakati ambao utawezesha watumiaji wa Halopesa kufanya malipo kwa njia ya Visa kupitia simu zao
Naibu Mkurugenzi wa Halotel Tanzania Nguyen Tien Dung kulia na Meneja wa Visa Tanzania Bi.Oliver Njoroge wakisaini mkataba wa kimkakati leo ambapo utawezesha wateja…