Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MSIKITI WA ISTIQAAMA BOMANI MJINI SUMBAWANGA, AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA NELSON MANDELA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivua viatu kabla ya kuingia na hatimaye kuufungua msikiti wa Istiqaama Bomani wa…
MKUTANO WA WATAALAM MAENDELEO JAMII WAAHIRISHWA HADI OKTOBA 21,2019
Na.Alex Sonna,Dodoma Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Maendeleo ya Jamii uliopangwa kufanyika kesho jijini Dodoma, umeahirishwa hadi Oktoba 21-24, mwaka huu. Akizungumza na…
SIMBACHAWENE AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA, UK AID KUJADILI MRADI WA KUKABILI ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI
Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene akizungumza katika kikao na ujumbe kutoka Benki ya Dunia (WB) na…
WANAFUNZI WAKEMEWA KUFANYA VISASI KWA WALIMU PAMOJA NA KUCHOMA MOTO SHULE-ALHAJ LASENGA
NA MWAMVUA MWINYI WANAFUNZI hususan wa shule za sekondari ,wamekemewa kujiepusha kuweka visasi na walimu wao kwani kwa kufanya hivyo kunasababisha madhara ikiwemo kuchoma…
NDITIYE: MAWASILIANO YATUMIKE KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akisisitiza jambo kwa viongozi wa kampuni za simu za mkononi (hawapo pichani) wakati wa kikao…
TAASISI ZA DINI ZATAKIWA KUWEKA UTARATIBU WA KUKUSANYA WATOTO WA MITAANI
Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Emanuel Chibago akizungumza wakati wa hafla ya kufunga Kongamano kubwa la kimataifa ambalo huandaliwa na kanisa…
Ujifunzaji wa kutumia Vifaa Mbalimbali na Michezo Humwezesha Mtoto Kuielewa Haraka
Na Joyce Kasiki “Ni muhimu kwa mtoto wa darasa la awali kuanza kujifunza kwa kutumia zana au vifaa na michezo mbalimbali kabla ya kuanza…
UFUNGAJI WA KONGAMANO LA MTHAMINI MWANAMKE
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud akieleza thamani ya Mwanamke wakati akifunga Kongamano la siku mbili la mthamini Mwanamke huko katika…