Home Mchanganyiko RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MSIKITI WA ISTIQAAMA BOMANI MJINI SUMBAWANGA, AHUTUBIA MKUTANO...

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MSIKITI WA ISTIQAAMA BOMANI MJINI SUMBAWANGA, AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA NELSON MANDELA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivua viatu kabla ya kuingia na hatimaye kuufungua msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali kabla ya kuufungua msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali na viongozi wengine akikata utepe kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali na viongozi wengine wakiitikia dua inayoongozwa na msaidizi wa Rais Alhaj Ali Masella baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi mchango wa shillingi milioni tano kwa asili ya
kukamilishia vifaa vya kuswalia kama vile mazulia Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali akishuhuduiwa na viongozi wengine baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019

Umati wa wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowatuhutubia katika Uwanja wa Nelson Mandela  Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu
Oktoba 7, 2019

PICHA NA IKULU