Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri Ndalichako Aamuru kuwekwa Ndani Mhandisi na Mshauri Elekezi Ujenzi wa VETA Sumbawanga
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akitaka maelezo kutoka kwa mshauri elekezi wa mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi…
SIMBA SC WALIVYOWASILI KISIWANI PEMBA JANA TAYARI KUMENYANA NA ZIMAMOTO KESHO KOMBE LA MAPINDUZI
Kiungo Ibrahim Ajibu akiwaongoza wenzake baada ya kikosi kuwasili kisiwani Pemba jana tayari kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, ambayo inatarajiwa kuanza leo huku…
DONALD NGOMA ALIVYO ‘FITI’ KUELEKEA MECHI YA AZAM FC NA MLANDEGE LEO KOMBE LA MAPINDZUZI
Mshambuliaji Mzimbabwe wa Azam FC, Donald Ngoma ajikijifua jana kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mlandege utakaoanza Saa 2:15…
KATIBU MKUU MEJA JENERALI KINGU AWATAKA WATUMISHI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUFANYA KAZI KWA KASI, USHIRIKIANO NA UPENDO MWAKA MPYA 2020
Katibu Mkuu wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto), akizungumza na Watumishi wa Wizara yake, katika ukumbi wa mikutano…
WACHEZAJI WA YANGA SC WALIPOWASILI VISIWANI ZANZIBAR JANA TAYARI KUSHIRIKI KOMBE LA MAPINDUZI
Wachezaji wa Yanga SC wakiwa bandarini, Zanzibar jana baada ya kuwasili tayari michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani humo inayotarajiwa kuanza leo, huku wao…
YANGA YAIJIBU SIMBA YALETA WINGA WA TP MAZEMBE
Yanga wamewajibu Simba kwa kumleta winga wa TP Mazembe,Owe Bonyanga ametua nchini leo anatarajia kuungana na kikosi hicho visiwani Zanzibar kwa ajili ya Mashindano…
UCHAMBUZI MAHILI WA KARATE OKINAWA GOJU RYU UMUHIMU TOFAUTI ZA NEMBO ZA KARATE ZITAMBUE
Uchambuzi wa kina na historia ya mitindo ya Karate chini ya wanzilishi, matawi yake duniani na hatimae kuwa na ushirika na makao makuu huko…
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA SKULI ZA SEKONDARI TISA ZA UNGUJA NA PEMBA AKIFUNGUA KWA NIABA SKULI YA SEKONDARI YA RAHALEO WILAYA YA MJINI UNGUJA
MUONEKANO wa Jengo la Skuli mpya ya Sekondari ya Rahaleo Wilaya ya Mjini Unguja iliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza…
SERIKALI KUFUTA VYAMA 3,436 VYA USHIRIKA
Waziri wa Kilimo, Mhe Japhet Hasunga akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma Wandishi wa habari wakifuatilia mkutano wao na Waziri…