Home Michezo WACHEZAJI WA YANGA SC WALIPOWASILI VISIWANI ZANZIBAR JANA TAYARI KUSHIRIKI KOMBE LA...

WACHEZAJI WA YANGA SC WALIPOWASILI VISIWANI ZANZIBAR JANA TAYARI KUSHIRIKI KOMBE LA MAPINDUZI

0
Wachezaji wa Yanga SC wakiwa bandarini, Zanzibar jana baada ya kuwasili tayari michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani humo inayotarajiwa kuanza leo, huku wao wakicheza mechi yao ya kwanza kesho dhidi ya Jamhuri kuanzia Saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar ambayo itarushwa LIVE na Azam Sports 2