Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
KONGAMANO LA MIAKA 56 YA MAPINDUZI LAFUNGULIWA ZANZIBAR
Baadhi ya wananchi na Waalikwa mbalimbali waliohudhuria Kongamano la miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar lililofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdull Wakil kikwajuni…
KISA SARE NA YANGA,MANARA ‘AWALIPUA’ VIKALI WACHEZAJI SIMBA
MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC Haji Manara amewataka wachezaji wa timu hiyo kutambua thamani ya jezi yao na kujituma zaidi wawapo uwanjani kama…
WANAFUNZI ZAIDI YA 1,000 KATAVI WANATARAJIA KUJIUNGA NA CHUO YA MAENDELEO YA WANANCHI MSAGINYA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akikagua ujenzi wa jengo la utawala katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Msaginya kilichopo wilayani…
MAN CITY YASONGA MBELE KOMBE LA FA,YAICHAPA 4-1 PORT VALE
Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 42 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Port Vale kwenye mchezo…
WANANCHI WAMLILIA NJAA MBUNGE WA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE
Wananchi wa kata ya Chamaguha katika Jimbo la Shinyanga Mjini wamemuomba Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Stephen Julius Masele kusaidia wananchi kutatua changamoto ya…
ZOEZI LA UPIMAJI WA DAMU KWA AJILI YA KUTAMBUA WALIOPATA MALARIA KATIKA SHEHIA YA KIKWAJUNI MAJUMBA YA MJARUMANI ZANZIBAR WAFANYIKA
Daktari Hamadi Khamis Makame akimtoa damu Mtoto Huda Abdalla Abdillahi mkaazi wa Kikwajuni katika Zoezi la utoaji wa Damu kwa ajili ya kupima Malaria…
”PESA HAICHEZI” YANGA YAFANYA COMEBACK YA HATARI,MECHI YAMALIZIKA 2-2 DHIDI YA SIMBA
WATANI wa jadi, Simba SC na Yanga wamegawana pointi baada ya sare ya 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni…
MRADI WA HOTELI NI MUHIMU KWA UTALII-MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi la Hoteli ya Golden Tulip Airport Zanzibar, Januari 4, 2020. Kutoka Julia ni Mwenyekiti wa…