Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 42 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Port Vale kwenye mchezo wa Raund ya Tatu Kombe la FA England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Oleksandr Zinchenko dakika ya 20, Taylor Harwood-Bellis dakika ya 58 na Phil Foden dakika ya 76, wakati bao pekee la Port Vale limefungwa na Tom Pope dakika ya 35 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN CITY YASONGA MBELE KOMBE LA FA,YAICHAPA 4-1 PORT VALE
By Alex Sonna
January 5, 2020 | 3:34 am

Related Stories
View all
Uncategorized
2 days ago
CHUO CHA MKWAWA WATHIBITISHA KUSHIRIKI KITONGA MARATHON
Rasi wa Chuo Kikuu cha Mkwawa Profesa Method Samuel ………. NA DENIS MLOWE, IRINGA CHUO Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimeahidi kushiriki katika…
Uncategorized
2 days ago
GUINNESS YALETA KOMBE LA LIGI KUU YA UINGEREZA NCHINI TANZANIA
Dar es Salaam-Tanzania, 9 Oktoba 2026: Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza limewasili Tanzania, kwa mara ya kwanza, likiashiria kuanza kwa ziara yake ya…
