Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Tura Igalula mkoani Tabora akiwa njiani kuelekea Dodoma leo Jumanne Septemba 22, 2020.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Igalula mkoani Tabora Bw. Venant Protas akimuombea kuraRais Dk. John Pombe Magufuli na yeye mwenyewe katika mji wa Igalula.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi Tura Igalula mkoani Tabora akiwa njiani kuelekea Dodoma leo Jumanne Septemba 22, 2020.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akizungumza kwenye mkutano huo na kumuombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli alipopita Tura Igalula mkoani Tabora na kuzungumza na wananchi
Mussa Ntimiz aliyekuwa mbunge wa jimbl la Igalula akimuombea kura Rais Dlk. John Pombe Magufuli alipozungumza na wananchi wa Igalula Kigwa.
Baadhi ya picha zikionesha maelfu waliofika kumlaki na kumsikiliza Rais Dk. John Pombe magufuli.
Baadhi ya wananchi wakiwa wameshikilia vipeperushi huku wakimsikiliza Mgombea Urais kwa tiketi ya (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipozungumza nao katika eneo la Tura mkoani Tabora.