Home Siasa MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI AKIOMBA KURA KWA WANANCHI WA IGALULA  AKIELEKEAA MANYONI

MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI AKIOMBA KURA KWA WANANCHI WA IGALULA  AKIELEKEAA MANYONI

0

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igalula mkoani Tabora wakati akielekea Manyoni mkoani Singida katika muendelezo wa Mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020.

Wananchi wa Igalula wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kusimama katika eneo hilo.