Home Michezo MAN CITY YAANZA NA MOTO ENGLAND, YAICHAPA 3-1 WOLVES UGENINI

MAN CITY YAANZA NA MOTO ENGLAND, YAICHAPA 3-1 WOLVES UGENINI

0

Kevin De Bruyne (katikati) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza kwa penalti dakika ya 20 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Romain Saiss katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux. Mabao mengine ya Manchester City yalifungwa na Phil Foden dakika ya 32 na Gabriel Jesus dakika ya 90 na ushei, wakati la Wolves lilifungwa na Raul Jimenez dakika ya 78 PICHA ZIAID SOMA HAPA