Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM – Bara) Ndg. Stephen Wasira ameongoza kikao kazi kilichomshirikisha Katibu Mkuu wa Chama Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro na Katibu Wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndg. Kenani Kihongosi, Leo Julai 31, 2026 Ofisi Ndogo Ya CCM Lumumba Dar es Salaam.

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA AKUTANA NA DKT. MIGIRO NA KIHONGOSI
