Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuichapa Uswisi mabao 3-1 katika mchezo wa robo fainali uliochezwa alfajiri ya Julai 12, 2026.
Baada ya ushindi huo, Argentina itakutana na England katika mchezo wa nusu fainali wa Kombe la Dunia.
