Timu ya Taifa ya England imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuichapa Norway kwa mabao 2-1 katika mchezo wa robo fainali uliochezwa usiku wa Julai 12, 2026.

England sasa inamsubiri mshindi wa mchezo kati ya Argentina na Switzerland, ambaye atakutana naye katika nusu fainali ya michuano hiyo ya Kombe la Dunia.