Kwa muda mrefu, baadhi ya wakazi wa maeneo mbalimbali walikuwa wakiishi kwa hofu kutokana na visa vya wizi wa mara kwa mara. Simu kuporwa, nyumba kuvunjwa usiku na bidhaa kutoweka dukani vilianza kuwa habari za kawaida katika baadhi ya mitaa. Hali hiyo iliwalazimu wananchi kutafuta njia mpya za kujilinda na kulinda mali zao.
Badala ya kusubiri tukio litokee ndipo hatua zichukuliwe, jamii nyingi sasa zimeanza kutumia mbinu za pamoja zinazolenga kuzuia uhalifu mapema. Miongoni mwa hatua hizo ni kuanzisha vikundi vya ulinzi wa jirani, kubadilishana taarifa kwa haraka kupitia simu na kuwatambua wageni wanaozunguka kwa mienendo ya kutia shaka…… SOMA ZAIDI




