Biashara yangu ilianza vizuri sana. Mwanzoni nilikuwa napata wateja kila siku na mauzo yalikuwa yakiongezeka. Lakini baada ya muda, mambo yalibadilika ghafla. Wateja wakapungua, bidhaa zikaanza kukaa muda mrefu bila kununuliwa, na gharama zikaanza kunizidi.
Nilijaribu kila njia niliyoweza kupunguza bei, kubadilisha bidhaa, hata kubadilisha eneo la biashara. Lakini bado hakuna kilichobadilika. Kila siku nilikuwa nikikumbana na hasara zaidi, na polepole nikaanza kupoteza matumaini…… SOMA ZAIDI




