Lionel Messi (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 76 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Granada usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp, hvyo kurejea kileleni La LigaΒ PICHA ZAIDI SOMA HAPA