Klabu ya Yanga imeposti ujumbe wa kumkaribisha kocha Mbelgiji, Luc Aymael (kulia) aliyewahi kuzifundisha klabu za AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Missile ya Gabon, AFC Leopard ya Kenya, Rayon Sport ya Rwanda, JS Kairouan ya Tunisia, Al Nasr ya Dubai, Al Merreikh ya Sudan, Polokwane City, Free State Stars, Black Leopard za Afrika Kusini na Tala’ea El Gaish ya Misri kuashiria kwamba huyo ndiye kocha wake mpya.
YANGA SC YALETA KOCHA MPYA MBELGIJI
By Alex Sonna
January 9, 2020 | 8:36 am

Related Stories
View all
Michezo
5 days ago
RAIS SAMIA ATOA NDEGE YA KUWACHUKUA MASHUJAA SERENGETI BOYS WALIOFIKA FAINALI YA AFCON U-17
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa usafiri wa ndege kwa ajili ya kuwachukua mashujaa wa Timu ya…
Michezo
1 week ago
SERENGETI BOYS YATIKISA AFRIKA, YATINGA FAINALI YA AFCON U-17
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Vijana ya Tanzania, Serengeti Boys, imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika…
