Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam.
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA JAJI WARIOBA
By Alex Sonna
May 9, 2022 | 10:02 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
23 minutes ago
WAJASIRIAMALI IRINGA WATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU NA UTAMBULISHO WA BIDHAA ZAO
NA DENIS MLOWE IRINGA WAJASIRIAMALI wa Mkoa wa Iringa wametakiwa kuzingatia ubunifu katika biashara zao kwa kutambua kwa kina mahitaji ya soko na kuimarisha…
Mchanganyiko
27 minutes ago
KAMPUNI YA ZARA ADVENTURES TOURS TANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA MAONESHO YA KARIBU -KILI FAIR 2026
Na Happy Lazaro,Arusha . Kampuni ya Zara Adventures Tours Tanzania imeendelea kung’ara katika maonesho ya utalii ya Karibu -Kilifair yanayoendelea jijini Arusha huku ikipongeza…



