
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili Segerea Jijini Dar es salaam, nyumbani kwa aliyekuwa Kamishna wa Polisi CP Edwin Abraham Man, aliyefariki dunia Julai 15,2026 na mazishi yake yanafanyika leo Julai 18,2026 nyumbani kwake Segerea. Picha na Jeshi la Polisi
