Sikuwahi kufikiria kwamba mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote angefika mahali pa kuniambia wazi kuwa hakuniona kwenye maisha yake ya baadaye. Tulikutana kipindi ambacho maisha yangu yalikuwa mazuri sana. Tulikuwa karibu, tunazungumza kila siku, na kila kitu kilionekana kwenda vizuri.
Kwa kweli nilianza kuamini kuwa huenda ndiye mtu ambaye ningejenga naye maisha yangu.
Lakini ghafla mambo yakabadilika. Mwanzoni alianza kuwa distant kidogo. Simu zilianza kupungua, messages zikawa za kawaida tu, na muda tuliokuwa tunatumia pamoja ukapungua sana. Nilijipa moyo nikisema labda alikuwa busy au anapitia changamoto zake binafsi……. SOMA ZAIDI
