Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akishiriki kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akishiriki kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026. Kuanzia kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mhandisi Mshamu Munde, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. James Millya na mbele ni Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Steven Kiruswa.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifuatilia matukio mbalimbali wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026. Katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano) Bi. Mary Maganga.