Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Kongamano la Muungano lililofanyika katika Chuo cha Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tunguu, Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2026.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Kiwanda cha Uchapishaji cha Chuo cha Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichopo Tunguu, Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2026.

Matukio mbalimbali katika Kongamano la Muungano lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Chuo cha Umoja huo, Tunguu, Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2026.




