Wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam Jimbo la Kinondoni wananendelea kimiminika Kwenye viwanja vya Leaders ambako mkutano wa kampeni ya Mgomb\ea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika huku mgombea huyo akimadi ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2025/ 2530 na kuelezea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya 2020/2025 kuelekea uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
LEADERS KINONDONI KUMEKUCHA, WANA DAR ES SALAAM WANAENDELEA KUMIMINIKA
