Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua kitabu cha tafiti za biashara 114 zilizoandaliwa na watafiti mbalimbali wa masuala ya biashara, kwenye ufunguzi wa kongamano la tano la Maendeleo ya Biashara na Uchumi lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma Novemba 22, 2024. Kutoka kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Saidi Jafo, Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dkt. Kennedy Hosea, Mkuu wa chuo cha Elimu ya Biashara Prof. Edda Tandi Lwoga. Waziri Mkuu alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha tafiti za biashara 114 zilizoandaliwa na watafiti mbalimbali wa masuala ya biashara, kwenye ufunguzi wa kongamano la tano la Maendeleo ya Biashara na Uchumi lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma Novemba 22, 2024. Waziri Mkuu alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akionesha kitabu cha tafiti za biashara 114 zilizoandaliwa na watafiti mbalimbali wa masuala ya biashara, baada ya kukizindua kwenye ufunguzi wa kongamano la tano la Maendeleo ya Biashara na Uchumi lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma Novemba 22, 2024. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Saidi Jafo, Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dkt. Kennedy Hosea, Mkuu wa chuo cha Elimu ya Biashara Prof. Edda Tandi Lwoga. Waziri Mkuu alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhiwa tuzo ya kutambua mchango wake katika kujenga mazingira wezeshi katika sekta ya biashara, kwenye ufunguzi wa kongamano la tano la Maendeleo ya Biashara na Uchumi lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma Novemba 22, 2024. Kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Saidi Jafo. Waziri Mkuu alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza, kwenye ufunguzi wa kongamano la tano la Maendeleo ya Biashara na Uchumi lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma Novemba 22, 2024. Waziri Mkuu alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)