WASHIRIKI wa Matembezi ya Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Kizimkazi 2024, wakiwa katika eneo la kuazia matembezi hayo Mchangamle Wilaya ya Kusuni Mkoa wa Kusini Unguja, na kumalizikia katika viwanja vya Kizimkazi Mkunguni leo 18-8-2024, Tamasha hilo lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, kabla ya kuaza kwa Matembezi ya Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Kizimkazi 2024, yaliyoazia katika eneo la Mchangamle na kumalizikia katika viwanja vya Kizimkazi Mkunguni leo 18-8-2024 Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijukumika na Viongozi,Wanamichezo na Wananchi katika Matembezi ya Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Kizimkazi 2024, yaliyoazia katika eneo la Mchangamle na kumalizikia katika viwanja vya Kizimkazi Mkunguni Wilaya ya Kusini Unguja leo 18-8-2024, na ((kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wanamichezo katika mazoezi ya viungo katika viwanja vya Kizimkazi Mkunguni Wilaya ya Kusini Unguja, baada ya kumaliza matembezi ya Ufunguzi wa Tamasha la Tisa la Kizimkazi 2024, lililofanyika leo 18-8-2024 katika viwanja vya Kizimkazi Mkunguni.(Picha na Ikulu)