Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitoka nchini Cuba ambako alifanya ziara maalum ya kuboresha mahusiano kati ya nchi hiyo na Tanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI
By fullshangwe
August 18, 2024 | 3:57 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
2 minutes ago
SPIKA WA HOUSE OF COMMONS UINGEREZA AWASILI ARUSHA KUSHIRIKI MKUTANO WA 153 WA IPU
Spika wa Bunge la Wawakilishi la Uingereza (House of Commons), Sir Lindsay Hoyle, amewasili jijini Arusha usiku wa tarehe 3 Oktoba 2026 kwa ajili…
Mchanganyiko
5 minutes ago
RC RUVUMA AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA WAADILIFU NA WAAMINIFU
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenérali Ahmed Abbas katikati akiwa na Brigedia Jenérali John Ndunguru wa pili kulia na Katibu Tawala wa Mkoa…