Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Emmanuel Tutuba akipokea zawadi kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL mara baada ya kutembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sa.basaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024,
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Emmanuel Tutuba akipata maelezo namna Mkongo wa mawasiliano wa Taifa unavyofanya kazi kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024,
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Emmanuel Tutuba akipata maelezo amna Mkongo wa mawasiliano wa Taifa unavyofanya kazi kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024,
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Emmanuel Tutuba akifurahia jambo na Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024,
Afisa Itifaki na Uhusiano wa Benki Kuu ya Tanzania Bw. Innocent Mmari akipata maelezo kuhusu mifumo ya malipo wakati akipata maelelzo katika moja ya maeneo ya tehama katika banda hilo.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Emmanuel Tutuba akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea katika banda la TTCL kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024,