Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya  Islam  nchini Tanzania akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania BoT  katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024, katikati anayezungumza naye ni Noves Mosses Afisa Mwandamizi wa Itifaki na Uhusiano  Benki Kuu ya Tanzania.

Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya  Islam  nchini Tanzania akijadiliana jambo na Noves Mosses katikati Afisa Mwandamizi wa  Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT  wakati alipotembelea banda  hilo katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024.

Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya  Islam  nchini Tanzania akipata maelezo kutoka kwa Noves Mosses Afisa Mwandamizi wa  Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT  wakati alipotembelea banda  hilo katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024.

Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya  Islam  nchini Tanzania akizungumza jambo na  Noves Mosses Afisa Mwandamizi wa  Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT  wakati alipotembelea banda  hilo katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024.

Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya  Islam  nchini Tanzania akipokea zawadi kutoka kwa  Noves Mosses Afisa Mwandamizi wa  Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT  wakati alipotembelea banda  hilo katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024.

Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya  Islam  nchini Tanzania na ujumbe wake akisindikizwa na Noves Mosses Afisa Mwandamizi wa Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT  wakati akiondoka mara baada ya kutembelea banda  hilo katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024.