Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Mji wa Mwanga katika Uwanja wa CD Msuya, uliopo mjini Mwanga, Alhamis Juni 6, 2024, ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Kilimanjaro.
DKT. EMMANUEL NCHINBI AHUTUBIA WANANCHI WA MWANGA KILIMANJARO
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/06/IMG-20240606-WA0891-860x706.jpg)