RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Mhe. Said Yakub, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-5-2024 kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Mhe. Said Yakub, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-5-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Mhe.Said Yakub, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga akielekea kituo chake cha kazi Nchini Comoro, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-5-2024.(Picha na Ikulu)