Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kilele cha Mdahalo wa Kitaifa wa Baraza la Watu Wanaoishi na Virus vya Ukimwi ( NACOPHA) uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)