**********
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA Simba ISMAIL ADEN LAGE AWAONYA MASHABIKI WA SIMBA KUWA WASIWE NA PRESSURE YA KIZAMANI MAFANIKIO NI POLEPOLE
Mimi nliliposoma wasifu wa huyu Coach mpya wa simba nimeamini kuwa simba inazidi kupaa kiongozi na uendeshaji wake
Kwani huyu coach ni kocha ambaye ana kiwango kikubwa sana ila KAKOSA bahati tu angekuwa kocha wa Madrid ingeoendeza
Kwanza mwisho wa kuona kocha Kama huyu hapa Tanzania ilikuwa mwaka 2008 tulipoleta kocha kutoka Brazil na wasaidizi wake na hadi leo nilikuwa sijaona kocha tena mwenye kiwango kama hicho ndio ninashudia tena leo amekuja Pablo
Huyu coach wanapaswa viongozi wasimuingilie mipango yake hata kidogo wamsikilize kwanza ili waone makubwa yanayokuja pale simba sc naamini biriani limerejea lililopotea miaka mingi
PIA nawaomba mashabiki tusiwe na pressure maana mkiwa na pressure ninyi mtamfanya coaching awe hana imani na kila kitu anachokifanya najua mashabiki kila siku mnahitaji mambo mazuri tu bila kujua kuwa hayo mazuri yanakuja taratibu
Nb: na alipoulizwa kuwa itakuwaje kuhusu Derby na ukizingatia imebakiza michezo michache tu ifike na Derby huwa na pressure yake na mara nyingi huwa inafukuzisha makocha kwenye club nyingi
Lage
Viongozi wangekuwa na roho kama yngu na mafanikirio kama yangu sisemi ni marefu sana au ni mazuri sana kuhusu Derby Yanga hata watufunge miaka 10 mfululizo mimi hata sina kinyongo maana wanatufunga ila kikubwa ni kubeba kombe tu basi sina haja ya Kuwafunga Yanga mimi
Vipi Ismail yuko sawa hapo
Dondosha comments zako hapa chini ?