Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akichangia majadiliano ya
Bajeti ya Wizara ya Maji bungeni Dodoma Mei 6, 2021, ameikumbusha Serikali kutimiza ahadi
zilizotolewa kwa nyakati tofauti na viongozi wakuu, Rais Samia Suluhu
Hassan na Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli za kutatua
changamoto za uhaba wa maji ya bomba katika jimbo hilo kwa kujenga miradi ya
Maji.
Ndau,
nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika
akiwapambania Wananchi wa Njombe Mjini kwa kuihimiza Serikali kutatua
haraka changamoto hiyo ya uhaba wa maji licha ya kuwa na mito na vyanzo vya maji ….

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda