Familia ya Marehemu Anderson Temu wa Moshi inasikitika kutaarifu Msiba wa Mama yetu mpendwa Mama Sion Temu (Mazaa), Mama mazazi wa Edith ,Aneth, Sarah, Hoyce na Rachel Temu kilichotokea gafla tarehe 09/05/2021 katika hospitali KCMC Moshi.
Ratiba ya Mazishi ni tarehe 15/05/2021 (Jumamosi) Nyumbani kwake Old Moshi Kitahiye
Kwa wakazi wa Dar es salaam tumekutana leo nyumbani kwa mtoto wake Hoyce Temu Masaki Mtaa wa mwaya karibu na mgahawa wa kichina unaitwa Cheng du Restaurant kwa siku ya tarehe 10/05/2021 kabla ya kuondoka kwenda Moshi.
Tumekubaliana Michango ya Temu family itumwe Kwa Emmanuel Temu kupitia namba 0713059509
Tahadhari juu ya Covid-19 zizingatiwe kwa umakini.
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa. Jina la Bwana Lihimidiwe. Ameen.