Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, leo tarehe 17 April 2021 amehudhuria Hafla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa JWTZ na Mahafali ya kwanza ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa Maafisa Wanafunzi kundi 01/17 Ikulu Chamwino Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, leo tarehe 17 April 2021 amehudhuria Hafla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa JWTZ na Mahafali ya kwanza ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa Maafisa Wanafunzi kundi 01/17 Ikulu Chamwino Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)