Home Mchanganyiko RAIS NA AMIRI JESHI MKUU MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKU KAMISHENI KWA...

RAIS NA AMIRI JESHI MKUU MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) KATIKA VIWANJA VYA IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli Brigedia Generali Jackson Jairos Mwaseba haonekani pichani mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kutunukua Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 leo tarehe 17 Aprili, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akielekea katika uwanja wa Gwaride kwa ajili ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 leo tarehe 17 Aprili, 2021 katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa ulipokuwa ukipigwa kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 leo tarehe 17 Aprili, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Maalumu lililoandaliwa na Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 kabla ya kuwatunuku Kamisheni katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Aprili, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitoka kukagua Gwaride Maalumu lililoandaliwa na Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 kabla ya kuwatunuku Kamisheni katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Aprili, 2021

Sehemu ya Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 kabla ya kutunukiwa Kamisheni katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Aprili, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 wakivalishana vyeo mara baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 wakila Kiapo cha Utii kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 ambao wametunukiwa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan wakiondoka katika viwanja vya Ikulu huku wakiwa wametengeneza umbo la Omega kuashiria mwisho wa Mafunzo yao leo tarehe 17 Aprili 2021.

PICHA NA IKULU