Taswira mbalimbali za maelfu kwananchi wa Zanzibar wakiwa wamejipanga
njia nzima toka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Karume hadi Uwanja wa
Amaan kiasi cha kilomita 7 kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli ambye ameagwa rasmi visiwani leo Machi 23,
2021
MAELFU KWA MAELFU YA WANANCHI ZANZIBAR WAJITOKEZA KUMUAGA HAYATI DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA MAJONZI
